Uinuliwe Yesu Wewe Mwema Lyrics is sung by Pastor Epa. Uinuliwe Yesu Wewe Mwema Lyrics is written by Pastor Epa. The name of the song is Uinuliwe Yesu.
Song Details
Song Title | Uinuliwe Yesu |
Singer | Pastor Epa |
Songwriter | Pastor Epa |
START
Uinuliwe Yesu Wewe Mwema Lyrics
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uabudiwe Yesu, Wewe Mwema
Uabudiwe Yesu, Wewe Mwema
Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema
Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema
Eeh Bwana katika miungu yote
Ni nani aliye kama wewe
Mtukufu katika utakatifu
Mwenye Kuogopwa katika sifa
Uliyevuma kwa upepo wako
Bahari ikafunikiza adui
Wakazama kama risasi
Risasi ndani ya maji makuu
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema
Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema
Wowowowo!
Wowo!
Wowo!
Wowo!
END