Haufananishwi Na Kitu Kingine Lyrics is sung by Boaz Danken. Haufananishwi Na Kitu Kingine Lyrics is written by Boaz Danken. The name of the song is Haufananishwi.
Song Details
Song Title | Haufananishwi |
Singer | Boaz Danken |
Songwriter | Boaz Danken |
START
Haufananishwi Na Kitu Kingine Lyrics
Wewe ni Mungu, mpasua bahari
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
Wewe ni Mungu, mtuliza mawimbi
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
(rudia toka juu)
Unafanya mambo ambayo
Mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi toa
(rudia)
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
Si mwepesi wa hasira
Unaghairi mabaya
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
Mungu mwenye wivu
Unatunza maagano
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
Katikati ya dhahabu
Unakumbuka rehema
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
Unafanya mambo ambayo
Mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi kutoa
(rudia x4)
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
END
MORE SONG FOR YOU
#Wanna Know What It’s Like Lyrics
#That Dick Was A Ten Out Of Ten Lyrics
#You Are Exciting Boy Come Find Me Lyrics
#Baby Come Through The Pipe Lyrics
#And We Got A Lotta Time Lyrics
#I Don’t Really Got No Type Lyrics
#I Don’t Really Got No Type I Just Wanna Fuck All Night Lyrics
#I Just Wanna Fuck All Night Lyrics
#Baby I Need To Know Lyrics
#Need to Know Lyrics