Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi Lyrics

Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi Lyrics is sung by Reuben Kigame Na Sifa Voices. Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi Lyrics is written by Reuben Kigame Na Sifa Voices. The name of the song Enda Nasi.

Song Details

Song Title Enda Nasi
Singer Reuben Kigame Na Sifa Voices
Songwriter Reuben Kigame Na Sifa Voices

START

Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi Lyrics

Tunaomba uwepo wako uende nasi
Ewe bwana wa majeshi tusikie
Kama uendi nasi hatutaki kutoka hapa
Hatuwezi peke yetu enda nasi

Tu watu wa shingo ngumu tusamehe
Hatufai mbele zako turehemu
Tusafishe baba tuonyeshe uso wako
Twahitaji neema yako enda nasi

Tutavua mapambo yetu
Vitu vyote vya dhamani kwetu
Mioyo yetu twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasi

Tunaomba utuonyeshe njia zako Kwa maan umetuita kwa jina lako
Twalilia e bwana utukufu na uso wako
Bila wewe tutashindwa enda nasi

Tutavua mapambo yetu
Vitu vyote vya dhamani kwetu
Mioyo yetu twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasi

Ndugu na dada yangu tafadhali usijaribu kuyamudu maisha bila yake bwana utashindwa
Yafaa tufike mahali ambapo musa alimlilia bwana na kutafuta uso wake
Na kusema bwana tafadhali enda nasi enda nasi twakuhitaji.

Tutavua mapambo yetu
Vitu vyote vya dhamani kwetu
Mioyo yetu twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasi X2

Mioyo yetu twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasi X2

END

MORE SONG FOR YOU

#Wanna Know What It’s Like Lyrics
#That Dick Was A Ten Out Of Ten Lyrics
#You Are Exciting Boy Come Find Me Lyrics
#Baby Come Through The Pipe Lyrics
#And We Got A Lotta Time Lyrics
#I Don’t Really Got No Type Lyrics
#I Don’t Really Got No Type I Just Wanna Fuck All Night Lyrics
#I Just Wanna Fuck All Night Lyrics
 #Baby I Need To Know Lyrics
#Need to Know Lyrics

VIDEO

Leave a Comment

adplus-dvertising